Kabachubya
Member
- Oct 6, 2009
- 87
- 10
Nyumba inapangishwa tabata kimanga karibu kabisa na kanisa la KKKT Kimanga.
Ina vyumba viwili vya kulala, sebure, jiko, choo na bafu. Iko ndani ya uzio wa ukuta. kwa wafugaji kuna kibanda cha kuku na mbwa kwa wenye mbwa.
Bei ni Tshs 200,000 kwa mwezi.
Kwa mawasiliano 0713 123464 au 0762 101178
Very interesting... Kuna nyumba ya 200,000/= kwa mwezi, Dar?
ungepiga picha kuonyesha ukubwa wa sebule na vyumba ingekaa vzr sana,ukubwa wa chumba ni muhimu sana,mazingira ya nje pia ni mazuri.Picha ndio hizo hapo,natumaini zitakupa picha.