Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
​Pamoja sana gete gete...ungeweka round kabisa kwa 400,000 sio mbaya!!!wabheja sana.Mkuu kweli hapo kwa ulivoeleza nyumba inaonekana safi na reasonable, lakin nahisi jiridhishe hiyo bei na location mzee...kwa bei hiyo ni wastani wa 415,000 per mnth. Sio mbaya sana may watajiridhisha na location ...all the best kaka