Nyumba inapangishwa tegeta masaiti,vyumba viwili vya ndani,sebule na dining na servant quarter ya vyumba viwili nje.maji na umeme upo,plus ina faida nyingine ya kukodi hii nyumba kwasababu ina mabanda ya kuku pembeni makubwa ya kuweza kufugia kuku 1500 kila banda yapo mawili.jumla mabanda yote yanaweza kuchukua 3000.kodi ni 1m kwa mwezi inapokelewa kodi ya miezi sita mpk mwaka.karibuni.kwa Maelezo zaidi na picha zaidi whattsap 0786 057 996 or call 0756 661761.asante. P.s. najaribu Ku upload jamii forum lakini naona link ya upload hairespond watakaohitaji picha whatssap me.