House4Rent Nyumba inapangishwa ubungo kibo

Status
Not open for further replies.

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Wadau nimepata uhamisho natakiwa niripot mtwara tarehe 1vNov 2016 .Hivyo sina budi kuhama ikiwa bado miezi miwili kodi iishe kuanzia Nov 1. Hivyo basi ujiwa na kodi ya miezi miwili unirudishie unaingia..miezi ikiisha unaendelea kulipa kodi ya miezi 6 ..3 au 12 kadri utavyoelewana na mwenye nyumba
Nyumba ina vyumba viwili kimoja master, sitting room jiko , bafu na choo cha public maji masaa 24 yanaflow ndani ,luku yako ina fensi na geti parking kubwa ya gari.kutoka barabara ya lami (Morogoro Road)kituo cha mwendokasi cha Kibo ni umbali wa dakika 3 kwa miguu.kodi ni sh 300000 laki tatu kwa mwezi
Ukinitafuta mwenyewe haina dalali ..jst kutambulishana kwa Mwenye nyumba
Mwenye uhitaji nipigie au watsupp 0746778065
Pia dalali mwenye mteja anaruhusiwa kuiona na kumleta malipo ya dalali hayatanihusu
 
Piga picha tafadhali. Wengine tuko interested
 
Unahama 1/11/2016 wkt Leo ni 20/10/2018 au unahama km movie za kikorea kurudi miaka ya nyuma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…