ko tukiyapandisha unalipia siyo?Madirisha yake sijayapenda. Yako chini sana.
Hahahako tukiyapandisha unalipia siyo?
inabidi tuulize maana wateja wa siku hizi hawakosi sababu.Hahaha
inabidi tuulize maana wateja wa siku hizi hawakosi sababu.
Hakuna sehem yenye dar yenye "barabara ya Mandela road"Salaam,
Nyumba inapatikana Ubungo Riverside.
Ipo karibu kabisa na barabara ya Mandela road ( kama meter 150)
Maelezo husika:
Nyumba ina vyumba vitatu (ikiwemo master), sitting room, dinning room.
Nyumba inajitegemea na ipo ndani ya fensi. (Parking kubwa ipo)
(With full tiles, na aluminum windows)
Kodi: 350k (per month)
Contact: 0756 832833
View attachment 963640View attachment 963641View attachment 963642View attachment 963643View attachment 963644View attachment 963645
Aiseeee Kama hiyo Avater ni wewe! Nakupa hongera Sana. Kazuri atiMadirisha yake sijayapenda. Yako chini sana.
Hakuna sehem yenye dar yenye "barabara ya Mandela road"