House4Rent Nyumba inapangishwa, Ukonga Banana.

House4Rent Nyumba inapangishwa, Ukonga Banana.

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,287
Reaction score
486
Banana Kitunda,Matembele ya kwanza kabla ya kuvuka Reli. 2.3kms toka Banana. 4.8kms from airport. 14.2kms toka City Centre.

Master Bedroom/Chumba cha Mgeni/Spacious Living Room/Public toilet/Kitchen/Separate Luku/Maji ya ku-share bili/Fenced/Ample parking/0.6km toka Lami/very close to Ukonga Magereza Garden and recreation/Kodi kwa mwezi Laki 3 X Miezi6. Ni sehemu tulivu na Mandhari yenye kuvutia.

Kuona Elfu 10. Ya udalali ya Mwezi Mmoja kama Desturi.
_*0712205540_*

_*Kindly, repost this in other groups._*

5e465dc38ed2660d34c5a654e4072be5.jpg


6e9fbaad1a3166f188c2aac6ebacdde3.jpg


f79aacd433ca76fb022d9fd50313e65e.jpg

8aad5a1168c8dc380e4faa4890cb7e5d.jpg
 
Labda hii nyumba unakuta na chakula ndani umewekewa.bei kali kwa usawa huu tena ukonga
 
Hivi tangazo la sirikali la kulipisha kodi ya nyumba kwa mwezi hamkulisikia?
 
Mwezi laki 3 x miezi 6

Mkuu tutakushtaki kupangisha ni mwezi mmoja mmoja tu
 
300,000 x 6 = 1,800,000/= kwa miezi sita tu.

Sawa Mkuu maana hata Nyumba ni nzuri kweli.
 
nyumba ni nzuri ila laki 3 nyingi sana..

naishi ubungo na nyumba ina sifa kama hizo japo ya kizamani ina madirisha ya kawaida haina alluminium ila nalipa 180,000 tu... so laki 3 kwa ukonga naona nyigi sana
 
Back
Top Bottom