O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,316 Sep 26, 2016 #1 Wakuu heshima zenu.Nyumba inapangishwa maeneo ya mbezi Msakuzi njia ya mpigi magohe.Ipo kwenye hatua za mwisho za ujenzi.Ina vyumba 3; dinning; sebule; jiko; master moja self na public toilet.Pia kuna choo cha nje.Bei 250000.Anayehitaji kuiona anipm
Wakuu heshima zenu.Nyumba inapangishwa maeneo ya mbezi Msakuzi njia ya mpigi magohe.Ipo kwenye hatua za mwisho za ujenzi.Ina vyumba 3; dinning; sebule; jiko; master moja self na public toilet.Pia kuna choo cha nje.Bei 250000.Anayehitaji kuiona anipm