deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 936
- 515
Loh..bei nzuri kweli.Natamani ningekua naishi Iringa.
that is very expensive for iringa, hiyo ni bei ya nyumba za kimara Dar.
Habari zenu wakuu, nina nyumba napangisha ipo mkoani iringa, mahali panaitwa kihesa semtema, inavyumba vinne, self containe, car parking na uzio wenye nafasi yakutosha.. Bei tsh 150,000 kwa mwezi, malipo miezi sita.. Mwenye uhitaji anaweza kunipm.
that is very expensive for iringa, hiyo ni bei ya nyumba za kimara Dar.