Habari ndugu zangu,
Nyumba inatafuta mpangaji, mpangaji amehama jana tar 04/Dec/2022.
Location-Kimara stopover
Kodi-450K per month
Ulipaji-Kila baada ya Miezi 6
Vyumba vi3 (Kimoja masters)
Sebule kubwa
Room moja ya jiko
Public toilet (Ipo ndani ya nyumba)
Ipo ndani ya fence, na kuna pavestones.
Mama mwenyenyumba hakai hapo.
Sehem ilipo pana utulivu wa hali ya juu.
Na kuna walinzi wa security at night wanafanyia doria kuzunguka hilo eneo.
Kufika barabarani (Morogoro road) ni dk 3 tu kwa boda.
NB: Hakuna dalali, unalipa kodi moja kwa moja kwa muhusika.
Kwa mwonekano zaid njoo weekend jpili kuja kupaangalia.
Mawasiliano: 0783 242247