Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,700
Ndio boss karibuMilioni Selasini na tano!!!.
Ndio boss nyumba iko vizuri haina shidaMbona bei ya kawaida sana!! Bila shaka wenye fedha zao wataichangamkia haraka iwezekanavyo, iwapo tu haina mgogoro au maruweruwe wakati wa usiku.
SawaNyumba bado ipo wakuu
Nyumba ina "tyres"?? SawaNyumba inauzwa
Ipo Arusha moshono
Ni kubwa ina fens
Ina vyumba nane kwa vinne.yani kila chumba na seble.
Na chumba kimoja ni self yan chumba seble na choo ndani
Ina tyres nyumba nzima
Ina umeme na maji
Bei ni milion35
Ukihitaji tuwasiliane 0658124554View attachment 1564973View attachment 1564974View attachment 1564976View attachment 1564977
Tiles sawaNyumba ina "tyres"?? Sawa
Haina shida mkuu , mwenyewe ni mkazi wa Mkoa mwengine na anamiliki nyumba nyingi tu .Isiwe mambo ya Conjuring.
Isiwe mambo ya Conjuring.
Aisee[emoji1787] mashetani ya chuga ni mapole usiwaze,mabaya ni ya Dar yanacheza segere na singeli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyumba ina "tyres"?? Sawa
[emoji23][emoji23][emoji23]acha uogaIsiwe mambo ya Conjuring.