House4Sale Nyumba inauzwa Bahari Beach, Mugeta Street

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
708
Reaction score
501
Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta.

Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio.
*Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master.
*Huduma zote za kijamii zipo.

Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 900. Mazungumzo yanaruhusiwa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345

 
Madalali wenye njaa kama wewe ndio mnafanya nyumba zisiuzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…