Nyumba inauzwa Bahari Beach

Nyumba inauzwa Bahari Beach

radhiya

Senior Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
118
Reaction score
213
Nyumba Inauzwa Bahari Beach, Dar es Salaam.
Mahali: Br. Simba, Mtaa wa Mugeta.

Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara ya ununio.
*Ina Vyumba vitano vya kulala(vyote ni master).
*Huduma zote za kijamii zipo.

Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.

Bei: Milioni 900. Mazungumzo yanaruhusiwa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.

Mawasiliano
0784 829565
0767 833345
1740682926130.png
 
Back
Top Bottom