Nyumba inauzwa bei chee

mwanatz

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
18
Reaction score
2
WANA JAMII kuna nyumba inauzwa kimara mwisho , njia ya kwenda bonyokwa - ghorofani.
nyumba ina vyumba vitatu, sebule , choo na bafu, jiko. na ina eneo kubwa sana la kutosha kujenga nyumba nyingine.
bei 35,000,000/=

0755 310028. 0755 198216
 
Umewashirikisha wana familia? Sio baada ya muda tunaanza safari za mahakamani
 
He hii nyumba mara imeshapanda bei si ilitangazwa hapa inauzwa mil.25?
 
Title deed number please.

Kubadilika kwa bei kutoka chini kwenda juu ni dalili za ujanja ujanja, usiombe title deed tu, unaweza kuta mwenye title deed 'aliaminiwa', au mwenye nyumba hatuko nae tena, umakini unatakiwa hapa. Kama uko serious piga mguu ardhi na kamata lawyer.
 
sure mkuu, nakubaliana nawe! Hii nyumba ukienda kichwa kichwa waweza poteza pesa yako. please Usiruhusu tamaa ikutangulie!
 
Tunaihitaji picha ya hiyo nyuma pande zote na ndani inanvyoonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…