House4Sale Nyumba Inauzwa Bei imeshushwa Hadi Mil 25 tu

House4Sale Nyumba Inauzwa Bei imeshushwa Hadi Mil 25 tu

kilanio

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
221
Reaction score
69
Nyumba ina Hali Nzuri na Eneo ukubwa miguu 25 kwa 20, Pia ipo karibu na barabara Kuu.

Ina Sebule kubwa, dinning room,jiko,vyumba 2 vya kulala,choo na bafu..

Na pia ina Banda la nyuma lenye vyumba vitatu.Nyumba ina uzio(fensi).Nyumba ina hati ya serikal ya mtaa

Bei imeshushwa Hadi 25,000,000/=Tsh
Kutokana na Hali ya uchum kwa Sasa.
Location:Kivule-Njiapanda ya shule-Dsm.Mawasiliano.0762493174

Gari inafika Hadi getin

IMG_20200501_174048.jpg
IMG_20200501_173914.jpg
IMG_20200501_173933.jpg
IMG_20200501_174041.jpg
IMG_20200501_174044.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20200501_173922.jpg
    IMG_20200501_173922.jpg
    67 KB · Views: 3
Back
Top Bottom