NAREI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 1,730 Reaction score 1,660 Sep 18, 2019 #1 Nyumba inapatikana wilaya ya Ilala. Nyumba ina vyumba vitatu, sebule, jiko. Eneo la kiwanja ni sqm 400 (20*20) Huduma za kijamii zinapatikana (maji, umeme na barabara) Umbali kutoka msongola stand/shule ni takribani meter 200. Bei: 22m
Nyumba inapatikana wilaya ya Ilala. Nyumba ina vyumba vitatu, sebule, jiko. Eneo la kiwanja ni sqm 400 (20*20) Huduma za kijamii zinapatikana (maji, umeme na barabara) Umbali kutoka msongola stand/shule ni takribani meter 200. Bei: 22m
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 Sep 18, 2019 #2 Maji hayajai kweli hapo...natania tu sipajui
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Sep 18, 2019 #3 Twende tu milioni!! Aahh!! Ni twente tu milioni Haya mkuu.