Nyumba Inauzwa Bunju "A" kwa bei murua

Tayukwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
2,178
Reaction score
4,410
NYUMBA INAUZWA

Ni nyumba ya kisasa ipo maeneo ya BUNJU "A"

Ina vyumba vinne, master bedroom, store, jiko, fensi na nyumba nyingine ndogo kwa pembeni.

Ukubwa wa kiwanja ni square meters 1910
Ina hati yake safi kabisa.

Nyumba ni mpya ila kutokana na changamoto za kimaisha ndio maana inauzwa.

Bei ni milioni mia mbili na Ishirini na tano (225 milioni) kwa mazungumzo zaidi njoo Pm
 

Attachments

  • IMG_20190831_071120.jpg
    225.1 KB · Views: 58
  • IMG_20190831_071036.jpg
    122 KB · Views: 49
  • IMG_20190831_071005.jpg
    381.4 KB · Views: 55
  • IMG_20190831_070938.jpg
    70 KB · Views: 54
  • IMG_20190831_071002.jpg
    368.5 KB · Views: 48
  • IMG_20190831_071013.jpg
    273.5 KB · Views: 46
  • IMG_20190831_071110.jpg
    151.8 KB · Views: 50
  • IMG_20190831_070947.jpg
    318.2 KB · Views: 46
  • IMG_20190831_070923.jpg
    305.4 KB · Views: 49
  • IMG_20190831_070952.jpg
    170 KB · Views: 46
  • IMG_20190831_070943.jpg
    224.9 KB · Views: 51
  • IMG_20190831_071032.jpg
    174.4 KB · Views: 37
  • IMG_20190831_071115.jpg
    295.1 KB · Views: 33
  • IMG_20190831_071125.jpg
    220.5 KB · Views: 40
  • IMG_20190831_071039.jpg
    105.2 KB · Views: 33
  • IMG_20190831_070930.jpg
    222.1 KB · Views: 44
  • IMG_20190831_071015.jpg
    266.3 KB · Views: 39
Thubutuuuu hiyo bei enzi ya Mzee wa Msoga sawa ila kwa sasa endelea kupiga nayo picha
 
iyo bei ya serikali ya awamu ya4 , Sasaiv nyumba azinasoko kabisa watu wanauza nyumba bei za kutupa na wanunuzi awapatikani.
Bei iyo mtu anapata nyumba ya gorofa kabisa
 
Ndigu yangu alinunua nyumba milion 80 kaiuza milion 50 kapewa hela kwa instalments, tatu, hiyo bei yenu punguzeni jaman hela imekuwa ngumu mno
 
Sisi Watz sijui nani katuroga kwakweli, mtu anauza chake akiwa na shida na bei ndio hio hapo, sasa mambo ya PPF tower na nyumba ya mil 80 sijui 12 yanakujaje hapo? sisi kweli roho mbaya.
 
Kama chamazi kule nyumba zinauzwa kama zote karibu mji mzima
iyo bei ya serikali ya awamu ya4 , Sasaiv nyumba azinasoko kabisa watu wanauza nyumba bei za kutupa na wanunuzi awapatikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…