Ikiuzwa sio riziki kwangu.Ila mwezi wa tano nitakutafutaHiyo nyumba iko wapi?
Anaehitaji nyumba ya vyumba 4 kiwanja kina hati, umeme umeshavutwa Bunju B ,Inahitaji morden finishing .price 110 MIL ,TEL 071265211OWakuu salaam
Kama ambavyo tangazo linajieleza,nyumba hii inauzwa bado haijakamika IPO kwenye lenta ,nyumba IPO Bunju B pale sokoni unapandisha juu kidogo ni kama 1.5km toka barabarani
Nyumba INA vyumba viwili,kimoja master na kingine cha kawaida na public toilet,na jiko na seating room kiwanja ni 20x20
Karibuni
Bei ni 12 milion
Mawasiliano
0652482782
0743830276