Nyumba ya wapangaji inauzwa, ina wapangaji 5 ( 3 ni single rooms, 2 ni chumba na sebule) wote kwa pamoja wanalipa 450,000 kwa mwezi na kila mmoja ana Luku yake. Ina vyoo 4.
Maji Dawasco na reserve tank. Ni mpya . ipo dakika 1 kutembea kwa mguu kutoka bunju b barabara kuu ya bagamoyo. ina hati ya serikali za mitaa.