Flexi lady
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 298
- 208
Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za ujenzi ana shida.
View attachment 3024403
Ok ngoja nitafute picha ya mbelePicha tafadhari, hiyo Moja haitoshi..... 10 M parefu ujue
Mpaka leo unatafuta pichaOk ngoja nitafute picha ya mbele
16x22 metresKiwanja kina ukubwa gani?
Hapana mkuu niko mbali na hilo eneo, so mtu anayepalinda pale upatikanaji wake ndio mgumu kupata picha za ndaniMpaka leo unatafuta picha
Unazijua nyumba wewe?Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za ujenzi ana shida.
View attachment 3024403