mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,083
- 2,099
iyo nyumba ndogo ni ndogo kweli?TANGAZO LA KUUZA NYUMBA
NYUMBA INAUZWA IPO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR ES SALAM
NYUMBA ZIPO MBILI KUBWA NA NDOGO (BANDA LA UWANI)
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA 3 CHOO CHA NDANI JIKO NA SITING ROAM
NYUMBA NDOGO INA VYUMBA 4 KTK VYUMBA HIVYO , VYUMBA 2 VINA VYOO NDANI KWA NDANI NA VYUMBA VIWILI VYOO VYAKE NI VYA NJE
NYUMBA ZINA UMEME NA MAJI (BOMBA) NA NDANI KWENYE SAKAFU KUNA TIRES LKN PIA KUNA TENK KUBWA LA KUHIFADHIA MAJI
NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI JAPO HAKUNA GETI LA KUFUNGUA AU KUFUNGA LKN UKITAKA KUWEKA NI RAHISI , NYUMBA INA SEHEMU KUBWA YENYE UWAZI AMBAPO UNAWEZA WEKA GARI 3 ZENYE UKUBWA MFANO WA NOAH
NYUMBA IPO HATUA CHACHE KUTOKA BARA BARA, NYUMBA IPO KARIBU NA CHUO CHA KIUTA GONGO LA MBOTO AU KARIBU NA MARKAZI YA GONGO LA MBOTO
WAMILIKI WA NYUMBA NI MKE NA MUME NA WOTE WAMERIDHIANA KUUZA NYUMBA NA HAKUNA MGOGORO
MABANDA YA UWANI KUNA WAPANGAJI NA NYUMBA KUBWA INAKALIWA NA FAMILIA
NYUMBA INAUZWA SH MILIONI 90 ZA KITANZANIA NA HAKUNA DALALI HAPO UKIITAJI UNAKWENDA KUPELEKWA MOJA KWA MOJA NA WAMILIKI KWA MAWASILIANO NICHEKI KWA NAMBA
+225785332010, LKN PIA NAPATIKANA WHATSAPP KWA NAMBA HIZO UKITAAJI PICHA YA NYUMBA
KARIBU SANAView attachment 2449308View attachment 2449309View attachment 2449311View attachment 2449312View attachment 2449313View attachment 2449314
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hiyo ni barabara ya mtaa,ambapo haipanuliwi tena ,Huo mjengo wenyewe unaonekana upo centimeter chache kutoka barabarani, yani mmesikia kuna upanuzi wa barabara ndo mnataka kuwakanyagisha watu
Ni bora uiyone ndio useme nyumba ni bora na ina sehemu kubwa ya wazi , karibu in box tuyajenge kakaHapo mnatupiga labda milioni 50 nalipa