Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ni dalali sio?Basi bei halisi ni chini ya 55
Pole ila unaweza tafuta fursa na uzione!Ina kila kitu mpaka roho za watu! [emoji3] [emoji3]
Nyumba nzuri sana, ila sina hela[emoji17] [emoji17]
Pompoma usiharibu biashara za watu.Hii imechakaa kuliko ile uliyopanga Tandale kwa bi nyau?Mbona inaonekana wazi kabisa kwamba imeshaanza kwenda alijojo ( namaanisha Kuchakaa ) Mkuu?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Pompoma usiharibu biashara za watu.Hii imechakaa kuliko ile uliyopanga Tandale kwa bi nyau?
Pompoma usiharibu biashara za watu.Hii imechakaa kuliko ile uliyopanga Tandale kwa bi nyau?
Ina kila kitu mkuuVipi ina Hati?
Picha za ndani naweza kukutumia mkuu ila bado upo chini sanaHalafu mbona haujapiga picha za ndani??
[emoji120]Na hiyo Gari hapo pichani T 869 ARF imejumuishwa katika gharama nzima ya Nyumba au? Halafu na hiyo Gari yenyewe nayo inaonekana kwenda sambamba Kiuchakaaji na hiyo Nyumba?
IpagalaSehemu gani? Ipagala, Makole,Nkuhungu au wapi? Au mji mpya, Airport, Majengo au hazina sema mjini wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pompoma usiharibu biashara za watu.Hii imechakaa kuliko ile uliyopanga Tandale kwa bi nyau?