Nyumba safi kwa ajili ya makazi ya familia au biashara kiwanja /Plot 440 Block C Nkuhungu East
Inauzwa Mjin Dodoma, Nkuhungu Kituo cha mwisho cha Daladala CCM ulizia kwa Bw CHacha
ukubwa wa kiwana ni 40m x 22m
Nyumba ina
Sebule kubwa
sehemu ya kulia chakula
Jiko la ndani
veranda kubwa
Chumba kikuu cha choo na bafu ndani kwa ndani (Master Bedroom)
choo cha ndani
Car Park Egesho la gari hata mawili
Ukuta kuzunguka nyumba (Fance)
kwa mawasiliano zaidi ya bei piga
Na 0766-775092, 0788-287920, 0764-150790, 0657-748652