Nyumba nzuri iliyokamilika na ina uzio ipo Manispaa ya Dodoma, Kiwanja (Plot) 440 Block C Nkuhungu East
Nyumba ipo kituo cha mwisho cha Daladala CCM nkuhungu Kiwanja kina ukubwa wa mita 22 kwa mita 40
Nyumba ina
Master Bedroom moja
Vyumba vya kawaida 3
Choo cha ndani kimoja
Sehemu ya Chakula
Jiko
Sebule 2 kubwa
Egesho la Magari 2
Ukuta mrefu wa kuizunguka nyumba
Kwa Mawasiliano zaidi piga 0788-287729, 0766-775082, 0764-150790, 0765-748652
Weka picha tuchangamkie fursa!!! Ni lazima usema kama tayari imekamilika na huduma zote kama za maji na umeme. Medium density poa kabisa kama haina mgogoro na madeni benki!!!