dodoma real estates
Member
- Jan 18, 2017
- 77
- 12
Tuma pichaNyumba ya kisasa zaidi na mpya
Inapatikana maeneo ya kisasa Dodoma mjini... mita 250 kutoka dar es salaam road umeme na maji mita 10..ipo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 33/21.
Gari na usafiri wa aina yoyote ni kwa urahisi zaidi.
Bei ya nyumba ni million 40 maelewano yapo kidogo...ina hati na kila kitu na haina mgogoro wowote
Kwa mawasiliano zaidi na picha
Call: 0714140579/watsapp
Mkuu nimejaribu nimeshindwa kama una watsapp namba nakutumiaTuma picha
Nikusaidie kuzituma?Mkuu nimejaribu nimeshindwa kama una watsapp namba nakutumia
Naomba unitumie picha za nyumba 0763772636 WhatsApp
Mkuu viwanja vipo ila bajeti yako ni ya tshs ngapi?? Nnavyo vingine maeneo ya Nzuguni kwa masister bei ni milion 4 na kingine milion3.5 .ukubwa 20*40 mita na 15* 30 boss wangu karibunatafuta kiwanja ilazo,kisasa
Nyumba ya kisasa zaidi na mpya
Inapatikana maeneo ya kisasa Dodoma mjini... mita 250 kutoka dar es salaam road umeme na maji mita 10..ipo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 33/21.
Gari na usafiri wa aina yoyote ni kwa urahisi zaidi.
Bei ya nyumba ni million 40 maelewano yapo kidogo...ina hati na kila kitu na haina mgogoro wowote
Kwa mawasiliano zaidi na picha
Call: 0714140579/watsapp
mkuu nzuguni hapana huku kama kwingine sawa NkunguhuMkuu viwanja vipo ila bajeti yako ni ya tshs ngapi?? Nnavyo vingine maeneo ya Nzuguni kwa masister bei ni milion 4 na kingine milion3.5 .ukubwa 20*40 mita na 15* 30 boss wangu karibu
0787610588Mkuu nimejaribu nimeshindwa kama una watsapp namba nakutumia