House4Sale Nyumba inauzwa Dodoma

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
897
NYUMBA INAUZWA NKUHUNGU WEST

MAHALI; Nkuhungu west

MUUNDO WA NYUMBA
-Vyumba 04 vya kulala,kimoja master
-Jiko
-Sebule
-Dining
-Public toilet
---------------------------
HUDUMA
-maji 24/7
-umeme unawekwa muda si mrefu
-iko ndani ya fensi
-parking space
-ina nafasi kubwa kwa nyuma unaweza jenga servant quarter
------------------------------
UKUBWA WA KIWANJA-600sqm

DOCUMENT-Ofa za zamani za CDA

SABABU YA KUUZA-Biashara(Tunajenga na kuuza)

#inamaliziwa kila kitu we unahamia tu

BEI-80,000,000/=(Fixed)

GHARAMA ZA KWENDA SITE-50,000/= ---------------------------------------------------------------------------------------------MAWASILIANO
0622111186(whatsap only)
0767833496(call only)

 
Kupelekwa ni elfu 50 jamani sawa
 
Hapo kwenye cha mguu ndio umeharibu.
Watu wameshajua wewe ni big dalali.
Ukute hiyo nyumba ni mil 50
 
Basi Dom mpo juu dalali hapa bongo mguu huwa ni Ten dom fifty nimekubali ni jiji
 
Hivi kwa nini mnapaka rangi za parachichi kama zile nyumba za chamazi
 
Yaani kupelekwa tu haijalishi mtaridhiana au la elfu 50 na bado we unakamisheni yako kule kwenye million 80!
Hivi hela imekuwa nyepesi kiasi hicho toka lini?
 
Hiyo nyumba sio ya mil 80 mzee baba
 
Hiyo Nyumba ya 80mil ndo ikwapi hapo?
 
Hiyo nyumba top top bid unaeza pata ni 40M.

Halafu inakuaje mnapaka nyumba rangi za kwenye paa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…