House4Sale Nyumba inauzwa eneo la Mbezi Luois

House4Sale Nyumba inauzwa eneo la Mbezi Luois

Joined
Jul 15, 2015
Posts
53
Reaction score
11
Nyumba inauzwa ikiwa haijapauliwa ramani ya kisasa
Eneo ukubwa ni 30*25
Mahali Mbezi luois
Bei milioni 35,000,000/=
Mazungumzo yapo na karibu sana
Mawasiliano piga sim 0713660178

IMG_20210613_111926.jpg
 
Picha moja tu unaweza nishawishi kweli
 
kwa wanaojua ujenzi, na kwa eneo alilotaja, na amesema maelewano yapo, hiyo ameuza bei ndogo. binafsi hadi nimeogopa nimeoka kama kashuka sana as if anataka kupiga mtu.
 
Back
Top Bottom