hata design ya nyumba imekaa poa sana, plus majirani hawana uswahili kabisa๐๐๐๐Nimeiona ,ni nzuri kweli na ina madirisha mapana vizuri๐
Mno yani na baraza yake imekaa vizuri mno , pia bati lake linaonekana jipya mno๐คhata design ya nyumba imekaa poa sana, plus majirani hawana uswahili kabisa๐๐๐๐
na bati lake ni orginal kabisa halipati kutu wala kutoboka,,, nyumba imepandwa na maua ya kuvutia mnoo โบ๏ธMno yani na baraza yake imekaa vizuri mno , pia bati lake linaonekana jipya mno๐ค
Mno yani ningeokota pesa ningeinunua fastana bati lake ni orginal kabisa halipati kutu wala kutoboka,,, nyumba imepandwa na maua ya kuvutia mnoo โบ๏ธ
kwani saivi umefilisika tajeeeer๐๐๐๐ mbona hizi mambo ni ndogo mno kwako asee,, okota mjengo hauoni hata bei yake ni sawa na kreti ya biaMno yani ningeokota pesa ningeinunua fasta
Kumbe nikilewa huwa nawadanganya ni tajiri ๐คฃ poleni aiseekwani saivi umefilisika tajeeeer๐๐๐๐ mbona hizi mambo ni ndogo mno kwako asee,, okota mjengo hauoni hata bei yake ni sawa na kreti ya bia
pole nani sasa๐๐๐ mi sijasema ushawahi kutudanganya babuKumbe nikilewa huwa nawadanganya ni tajiri ๐คฃ poleni aisee
Nunua nyumba kijanapole nani sasa๐๐๐ mi sijasema ushawahi kutudanganya babu
nitanunua na kwenye uzinduzi nitakualika wew na sameja wangu ๐ค๐ค kikubwa dua mwanetuNunua nyumba kijana
Muhimu vinywaji changamshi viweponitanunua na kwenye uzinduzi nitakualika wew na sameja wangu ๐ค๐ค kikubwa dua mwanetu
uje umesha changamka bwana๐๐๐ kwangu mnakuja kuzindua nyumba pekeakeMuhimu vinywaji changamshi viwepo
Hahahahauje umesha changamka bwana๐๐๐ kwangu mnakuja kuzindua nyumba pekeake
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli.
*Ina vyumba vitatu vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule, jiko na choo cha ndani.
*Ina nafasi iliyobaki nje.
*Ina umeme na maji.
Ukubwa wa Eneo: SQM 500.
Bei: Tzs Milioni 85.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya serikali ya mtaa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate