radhiya JF-Expert Member Joined Aug 19, 2015 Posts 708 Reaction score 501 Mar 26, 2026 Thread starter #21 Watu8 said: Hivi haya maeneo ya Parokia ya Mt Bikira Maria Imakulata ni Goba pale au Mbezi? Click to expand... Sifahamu sana maeneo hayo isipokuwa kazi ninazopewa tu.
Watu8 said: Hivi haya maeneo ya Parokia ya Mt Bikira Maria Imakulata ni Goba pale au Mbezi? Click to expand... Sifahamu sana maeneo hayo isipokuwa kazi ninazopewa tu.
radhiya JF-Expert Member Joined Aug 19, 2015 Posts 708 Reaction score 501 Mar 26, 2026 Thread starter #22 Tate Mkuu said: Hapo usikute mmiliki anataka milioni 50 tu! Ila sasa baada ya dalali kukabidhiwa kuuza, na yeye anakuja na hesabu zake za kutatanisha. Click to expand... Hakuna hela iliyoongezwa, hatufanyi kazi kwa namna hiyo. Kilichoandikwa kwenye tangazo ndicho kilichosemwa na muuzaji. Karibu.
Tate Mkuu said: Hapo usikute mmiliki anataka milioni 50 tu! Ila sasa baada ya dalali kukabidhiwa kuuza, na yeye anakuja na hesabu zake za kutatanisha. Click to expand... Hakuna hela iliyoongezwa, hatufanyi kazi kwa namna hiyo. Kilichoandikwa kwenye tangazo ndicho kilichosemwa na muuzaji. Karibu.
radhiya JF-Expert Member Joined Aug 19, 2015 Posts 708 Reaction score 501 Mar 26, 2026 Thread starter #23 Monetary doctor said: Duuh sema kazi zako zimechangamka Click to expand... Karibu.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Mar 30, 2026 #24 Sabanga wa sabanga. Kazi ni kipimo cha utu