Nyumba inauzwa Goba njia nne

Nyumba inauzwa Goba njia nne

Adonai real estate

New Member
Joined
Sep 5, 2024
Posts
4
Reaction score
1
Nyumba Goba niwe nne Njia panda ya Tegeta A. Ukubwa wa eneo 550 square meter
vyumba vinne, viwili master, sebule na jiko

Tank la Maji na kisima cha Maji ya akiba, Mita 400 toka barabara ya Lami
Bei 230M mazungumzo yapo

Hatimiliki ipo

Mawasiliano 0737148766
Karibuni

55e299bb-2410-4669-8c6b-d7af74d5bff1.jpeg
d4c9800a-34eb-4f7c-a643-7d134d753d31.jpeg
a6914467-f732-4f76-b7a0-dd876889d749.jpeg
9f34bb15-584d-47f4-91e4-e017aa9ede17.jpeg
 

Attachments

  • 4c488fd5-5d96-467f-beed-2aeb06cb786f.jpeg
    4c488fd5-5d96-467f-beed-2aeb06cb786f.jpeg
    114 KB · Views: 3
Sio kuharibu tuangalie bwana na vitu, sasa goba kuna nyumba au kiwanja kama hiko kuwa na thamani hyo, aache hizo bwana. Hamna nyumba ya 230m bwana
Goba kinzudi, mtaa wa maghofani kuna viwanja vya Square meter 400 vinauzwa 90+m.

Usichukulie poa ulisilolijua
 
Goba kinzudi, mtaa wa maghofani kuna viwanja vya Square meter 400 vinauzwa 90+m.

Usichukulie poa ulisilolijua
Nisilolijua kivipi, mimi nakaa Goba nikiwa Bongo hapo. Na nina maeneo goba kwa robert makubwa kuliko hayo.
Usilete justifications hapa kwa mlengo wa sijui mm siishi huko. Ulizia watu humu utaelezwa nakaa wapi. Na nipo bongo hapo tarehe 29. Uje mishangazi pub au posto bella. Tukuelezee ujinga huo unavyokuwa. Nakuja hapo.
 
Back
Top Bottom