Adonai real estate
New Member
- Sep 5, 2024
- 4
- 1
Nenda. Kwanini uharibu biashara za watuMilioni 230 naweza kwenda kisemvule nikajenga nyumba zaidi ya kumi? Upuuuzi
Sio kuharibu tuangalie bwana na vitu, sasa goba kuna nyumba au kiwanja kama hiko kuwa na thamani hyo, aache hizo bwana. Hamna nyumba ya 230m bwanaNenda. Kwanini uhatibu biashara za watu
Goba kinzudi, mtaa wa maghofani kuna viwanja vya Square meter 400 vinauzwa 90+m.Sio kuharibu tuangalie bwana na vitu, sasa goba kuna nyumba au kiwanja kama hiko kuwa na thamani hyo, aache hizo bwana. Hamna nyumba ya 230m bwana
Nisilolijua kivipi, mimi nakaa Goba nikiwa Bongo hapo. Na nina maeneo goba kwa robert makubwa kuliko hayo.Goba kinzudi, mtaa wa maghofani kuna viwanja vya Square meter 400 vinauzwa 90+m.
Usichukulie poa ulisilolijua