House4Sale Nyumba inauzwa Goba Tegeta "A" milioni 135 tu!

Joined
Sep 11, 2024
Posts
33
Reaction score
46
Nyumba inauzwa Goba Tegeta "A"
Eneo lina SQM 450
Nyumba ipo sehemu nzuri sana(majirani✅
Nyumba ina fence ya umeme
Nyumba ina paving
Nyumba ina umeme na maji
Nyumba ina vyumba vitatu viwili vina choo
Choo cha public
Jiko limekamilika full makabati
Sebule kubwa
Dinning kubwa
Baraza mbili mbele na nyuma
Store kubwa kwenye mnara wa tank nyuma ya nyumba..
Dakika 15 tuu mpaka Goba Center
Backyard nzuri
Inahitajika milioni 135 tu...🔥
☎️ +255 699 255 530
Karibuni sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…