Nyumba inauzwa Goba

radhiya

Senior Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
118
Reaction score
213
Eneo lenye nyumba iliyofikia umaliziaji inauzwa Goba, Dar.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.

Sifa za Eneo:
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli.
*Ina Vyumba vitatu vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule, jiko na choo cha ndani.
*Ina nafasi iliyobaki nje.
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing.
*Ina umeme na maji.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 500.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya serikali ya mtaa.

Bei: Milioni 85.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.

Mawasiliano:
0784 829565
@prathlimited
 

Attachments

  • 1739507881258.png
    1.3 MB · Views: 2
ongeza picha
 
Hatari sana....mpiga picha ulitakiwa pia upige ideo ya hilo banda
 
Tufanye kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…