madalali wa nini sasa, weka bei kisha uone mwenyewe watu watakavyomiminika badala yakutuambia habari ya dalali wauhakika.Salaam wana forum!
NB.
Madalali wa uwakika mtakubalika
Sioni tatizo lolote hapo mwache atangaze biashara yake ukipenda changia usipopenda kuna thread nyingi za kuchangia, Nafikiri nimeeleweka.Mkimagi
Junior Member
Join Date: Sat Jan 2010
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Huyu hana lolote kaja JF kutangaza biashara yake ya nyumba ndio maana post yake ya kwanza kabisa ni Tangazo la kuuza nyumba, kwanza kwanini hakupost hii thread yake kule kwenye forum ya matangazo?..kweli kuku mgeni hakosi kamba mguni.
madalali wa nini sasa, weka bei kisha uone mwenyewe watu watakavyomiminika badala yakutuambia habari ya dalali wauhakika.
Mkimagi