Upande wa Frem iliyokuwepo zizou au huku kwa mama bwando?
Duhh,mshkaji kumbe unamjua mwenye nyumba na maeneo yake?jamaa anaesema mwenye nyumba harudi tena.
Ndio maana hajaweka picha
Sheli ya Bamaga opposite yake kuna chuo cha Ustawi wa Jamii.Ukisema zizo ina maana itakuwa inayofuata, nimesema iko oppsite na shell ya bamaga.. Naiuza