Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unanunua jina la mtaa kama ambavyo leo watu wananunua vitu kutokana na brands fulani fulani hivi.Labda M35
Dah!Hapo unanunua jina la mtaa kama ambavyo leo watu wananunua vitu kutokana na brands fulani fulani hivi.
kuna nyumba hapo mkuu, mi nakiona kiwanja - ungetupita vipimo ukubwa wake tuone!!Nyumba inayouzwa ni hii ya mbele, ya upande wa kushoto mwa mpiga picha, au lile gorofa nyuma? Mkuu.
hizo nyumba za Nationa Housing miaka ya 1980 ukubwa utakuwa ni 25 kwa 25 si zaidi ya hapo.Ungetoa vipimo vya ukubwa wa kiwanja ndio kitu cha maana. Hiyo nyumba kwa vyovyote si nyumba mtu ataiacha bila kuibomoa. Sema unauza kiwanja chenye banda la kubomoa kwa milioni 350 nje kidogo ya jiji