Sheriff Hood
Member
- May 3, 2018
- 82
- 124
Sawa mkuuGood timing,waheshimiwa karibia wanashikishwa mikwanja mirefu.
Ila bei uiadjust kidogo ifikie 40m hivi,utauza
Bila Hivyo Tutakufa Njaa
Utakuwa unaishi Swaswa wewe?Bila Hivyo Tutakufa Njaa
Ilazo Ni Kama Jangwani Dar es salaam Msimu Wa Mvua Ila Nyakati Hizi Kiangazi Mambo Dede