Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Kwa hapa New York city, $475k unapata nyumba ya kufa mtu yenye vyumba 5 vya kulala, 6baths, na uwanja una ekari 1. Hiyo pesa iliyobaki $2m unaitumia miaka 40 na haiishiNYUMBA 🏠 🏠
(I-N-A-U-Z-W-A)*
IPO ADA ESTATE KINONDONI
MBELE ya MTAA
MAENEO TULIVU
Umiliki (HATI SAFI)
Kiwanja (2,950)
Price (Billion 6.5)
Ambayo ni Sawa na
(USD 2.5 Mill)
Maongezi kidogo
🇹🇿Call/WhatsApp +25575884417
#daressalaam🇹🇿 #fypシ゚viral__ #houseforsale #viral_video_tiktok_treding
Niliwahi ona wanatukanda kule reddit tuko overprice alafu blackout kila dakikaIpo Ada Estate, Kinondoni, mbele ya mtaa, katika eneo tulivu
Umiliki: hati safi
Ukubwa wa kiwanja: sqm 2,950
Bei: TSh bilioni 6.5, sawa na USD milioni 2.5
Bei inazungumzika kidogo.
🇹🇿 Call/WhatsApp: +255 758 844 417
View attachment 3655900
Wabongo ni *******. Yaani huwa wanaona hela ni karatasi tu. Wanatajaga mabei ya kipuuzi tuKwa hapa New York city, $475k unapata nyumba ya kufa mtu yenye vyumba 5 vya kulala, 6baths, na uwanja una ekari 1. Hiyo pesa iliyobaki $2m unaitumia miaka 40 na haiishi
Over pricing kwenye ardhi ni matunda ya ufisadi unaofanywa na chama unachokitetea kila siku humu.Bei Hiyo Europe na US unapata nyumba nzuri tuu
Chama kipi?Over pricing kwenye ardhi ni matunda ya ufisadi unaofanywa na chama unachokitetea kila siku humu.