alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,703
- 6,046
Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area)
Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya Ilemela)
Vilivyomo:
Eneo la nje kuna majengo mengine manne:
Mawasiliano:
Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya Ilemela)
Vilivyomo:
- vyumba vinne vya kulala, (master bedroom 1 na vyumba vitatu)
- Sitting & Dining rooms
- Choo na bafu
- Jiko na Stoo
Eneo la nje kuna majengo mengine manne:
- Jengo la kwanza: Chumba kikubwa kwa matumizi ya kuhifadhi magari au stoo
- Jengo la pili: Vyumba viwili vikubwa, vinafaa kuishi au madarasa ya chekechea
- Jengo la tatu: Chumba kikubwa, kinafaa kwa ufugaji wa mifugo au matumizi mengine
- Jengo la nne: Vyumba vidogo kwa ajili ya stoo ya nje, kuishi mbwa, kuku nk
Mawasiliano:
- Simu: 0767659145, 0787659145, 0620246040
- Email: alphonce_tz@hotmail.com
- Skype: alphonce_tz
-