House4Sale Nyumba inauzwa ipo Buswelu Mwanza Tanzania

alphonce.NET

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,703
Reaction score
6,046
Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area)
Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya Ilemela)


Vilivyomo:

  • vyumba vinne vya kulala, (master bedroom 1 na vyumba vitatu)
  • Sitting & Dining rooms
  • Choo na bafu
  • Jiko na Stoo

Eneo la nje kuna majengo mengine manne:
  • Jengo la kwanza: Chumba kikubwa kwa matumizi ya kuhifadhi magari au stoo
  • Jengo la pili: Vyumba viwili vikubwa, vinafaa kuishi au madarasa ya chekechea
  • Jengo la tatu: Chumba kikubwa, kinafaa kwa ufugaji wa mifugo au matumizi mengine
  • Jengo la nne: Vyumba vidogo kwa ajili ya stoo ya nje, kuishi mbwa, kuku nk
BEI: Sh 78,000,000

Mawasiliano:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…