House4Sale Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama

House4Sale Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama

albertt

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
339
Reaction score
78
Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824
 

Attachments

  • 1465711551431.jpg
    1465711551431.jpg
    34.9 KB · Views: 62
Imepimwa, ina ukubwa gani na ina hati? Hivyo ndo vitu muhim ulitakiwa useme
 
Khaaaa! mkuu wewe unautani! Nyumba ya Chang'ombe usalama lakini bei ya Masaki.
 
nadhani umemaanisha milioni 55 ila kutokana na haraka hikuiona hiyo typing error,
 
Munakaa huko hapa mjini watu wana pesa tukitaja milion 400 tu inatoka fasta mbona kijungu yake iko kitonga amepiga mill 300 sembuse hiii HUKO NI KUJIDANGANYA we dalali weka bei sahihi watu wanunue.riziki yako ww ni laki tu.
 
Vipi yule ndugu yenu aliekuwa anakataa msiuze hiyo nyumba mshamuondoa tayari?
 
Back
Top Bottom