House4Sale Nyumba inauzwa ipo Kibaha

House4Sale Nyumba inauzwa ipo Kibaha

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
8,764
Reaction score
7,758
Nyumba ipo Kongowe kibaha ina vyumba 2 kila chumba na choo yake iliyokamilika.
Kuna kiwanja kuendeleza ujenzi

Bei ni million 15 Bei ndogo kulingana na hali mbaya ya mdololo wa kiuchumi

Ukubwa wa eneo ni mita za mraba 678.
 
Attachments

  • 5078.jpg
    5078.jpg
    131.1 KB · Views: 214
  • 5075.jpg
    5075.jpg
    118.8 KB · Views: 205
  • 1479736392363.jpg
    1479736392363.jpg
    146.4 KB · Views: 209
  • 1479737860591.jpg
    1479737860591.jpg
    100.6 KB · Views: 193
  • 1479737924975.jpg
    1479737924975.jpg
    96.8 KB · Views: 192
Then nikuanzie hela nusu nyingine after three months
 
Mkuu njoo tuongee PM nataka kujua eneo zima lina ukubwa gani kama upo tayari nalitaka eneo hilo
 
Mkuu weka details basi ikiwezekana utupiemo na kapicha, wengi tumevutiwa na tangazo lako
 
Mkuu nyumba ni yangu na ntampa receipt halali ya Mashine iliyo na kodi ya tra pia mamlaka za uongozi mtaa, kata zinanazohusika na makazi aridhi zitahusika
Nashukuru kwa hilo sababu tatizo siyo kwamba nyumba si yako ila yawezekana ulinunua kwa mtu mwingine na bado kuna milolongo ya kubadili ownership ambayo mimi imenitembeza tangu 2006 mpaka kesho. Sema kwa kuwa upo eneo lisilo na matatizo kama Mbezi beach. Sikuwa na nia mbaya.
 
Mkuu upo usahihi kwa sasa matapeli wamejaa,!
Nikutoe hofu nyumba ni yangu nimejenga mwenyewe nyumba ni mpya.
 
Mkuu upo usahihi kwa sasa matapeli wamejaa,!
Nikutoe hofu nyumba ni yangu nimejenga mwenyewe nyumba ni mpya.
Ila mimi sijatapeliwa kila kitu kipo ila Ardhi makao makuu sina hamu. Miaka kumi natembea nimechoka sasa nikifa basi watoto watajiju.
 
Nyumba ipo Kongowe kibaha ina vyumba 2 kila chumba na choo yake iliyokamilika.
Kuna kiwanja kuendeleza ujenzi

Bei ni million 15 Bei ndogo kulingana na hali mbaya ya mdololo wa kiuchumi

Kongowe sehemu gani, kituoni, kwa kashurano, kwa kazimzuri etc. Specify exact location
 
Back
Top Bottom