...na sie tulieko huku Buzebazeba tuje Kibaha?Njoo kibaha uone location
hakikisha anakuonyesha hati au offer na jina la mwenye offer.Tuwasiliane nimekupm
weka kapicha basiMkuu nyumba ni yangu na ntampa receipt halali ya Mashine iliyo na kodi ya tra pia mamlaka za uongozi mtaa, kata zinanazohusika na makazi aridhi zitahusika
Nashukuru kwa hilo sababu tatizo siyo kwamba nyumba si yako ila yawezekana ulinunua kwa mtu mwingine na bado kuna milolongo ya kubadili ownership ambayo mimi imenitembeza tangu 2006 mpaka kesho. Sema kwa kuwa upo eneo lisilo na matatizo kama Mbezi beach. Sikuwa na nia mbaya.Mkuu nyumba ni yangu na ntampa receipt halali ya Mashine iliyo na kodi ya tra pia mamlaka za uongozi mtaa, kata zinanazohusika na makazi aridhi zitahusika
Mkuu upo usahihi kwa sasa matapeli wamejaa,!Nashukuru kwa hilo sababu tatizo siyo kwamba nyumba si yako ila yawezekana ulinunua kwa mtu mwingine na bado kuna milolongo ya kubadili ownership ambayo mimi imenitembeza tangu 2006 mpaka kesho. Sema kwa kuwa upo eneo lisilo na matatizo kama Mbezi beach. Sikuwa na nia mbaya.
Ila mimi sijatapeliwa kila kitu kipo ila Ardhi makao makuu sina hamu. Miaka kumi natembea nimechoka sasa nikifa basi watoto watajiju.Mkuu upo usahihi kwa sasa matapeli wamejaa,!
Nikutoe hofu nyumba ni yangu nimejenga mwenyewe nyumba ni mpya.
Nyumba ipo Kongowe kibaha ina vyumba 2 kila chumba na choo yake iliyokamilika.
Kuna kiwanja kuendeleza ujenzi
Bei ni million 15 Bei ndogo kulingana na hali mbaya ya mdololo wa kiuchumi