Nyumba inauzwa ipo Madale Kwa Kawawa

Nyumba inauzwa ipo Madale Kwa Kawawa

BATULUNGE

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Posts
391
Reaction score
633
Nyumba inauzwa ipo madale mil 70, Kwa Kawawa,
Ipo umbali wa km 1 kutoka barabara lami,
Kiwanja kina Sam 650 na kimeshawekwa bikoni,
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master na public toilet 1, sitting room1, dining room 1 na jiko 1

0656077998
 
Attachments

  • IMG-20240705-WA0027.jpg
    IMG-20240705-WA0027.jpg
    63.9 KB · Views: 14
  • IMG-20240705-WA0029.jpg
    IMG-20240705-WA0029.jpg
    120.3 KB · Views: 13
  • IMG-20240705-WA0026.jpg
    IMG-20240705-WA0026.jpg
    75.6 KB · Views: 14
  • IMG-20240705-WA0024.jpg
    IMG-20240705-WA0024.jpg
    63.3 KB · Views: 14
Nyumba inauzwa ipo madale mil 70, Kwa Kawawa,
Ipo umbali wa km 1 kutoka barabara lami,
Kiwanja kina Sam 650 na kimeshawekwa bikoni,
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master na public toilet 1, sitting room1, dining room 1 na jiko 1

0656077998
Tafautisha kati ya nyumba na banda la kuku
 
Inaonekana nyumba ipo kwenye uelekeo wa maji. Au mimi sijaona vizuri?
 
Back
Top Bottom