Website design
Member
- Sep 8, 2017
- 60
- 266
Anajiandikia tu milioni 300 .Mkuu unaijua milion 300? au nimesoma vibaya
Si kwa ubaya hapo si kwa yule dogo wa tra muhayasio mbaya...bali haikidhi thamani halisi
mkuu usiwe mkali wajumbe wanakupa uhalisia hebu angalia hii imeisha kabisayawezekana sio saizi yako ndo maana wasema hivyo...
Jamaa acha ungese na tufatilia kila kitu tupate kodi yetu nyie ndio mtapeli wastaafu yetuhakukuwa na haja ya kucomment kama tangazo sio saizi yakoo
Mbona nyumba ina beams tu na haina columns?📍Eneo Lilipo: Makongo Juu - Mageuzio
📍Aina ya eneo: Eneo la makazi Kubwa lililo na mjengo wako
📍Ukubwa wa eneo: 2100 Sqm
📍Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu
📍Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo
💸💸💸 BEI : Milioni 300 (Mazungumzo yapo)
💸💸💸 LIPA 50% INGINE UTAMALIZIA KIDOGO KIDOGO
☎☎☎ : 0782 780 980 AU 0677 81 82 83
View attachment 1208545View attachment 1208546View attachment 1208547View attachment 1208548View attachment 1208549View attachment 1208550View attachment 1208551View attachment 1208552View attachment 1208553
☎☎☎ : 0782 780 980 AU 0677 81 82 83
utagombana na maiko wa watu tu hahaha,mkuu 80% ya wachangiaji hawajakuelewa hebu review beiUko vizuri sana fundi maiko...
Katika ujenzi wa magorofa component ya muhimu zaidi ni msingi ikifwatiwa na columns then zinafwata beams na slabs!! hizi ndio zinafanya jengo/ghorofa liwe imara. Ndio maana nikauliza mbona sioni columns?siwezi kujibia hilo suala naona lipo kiufundi zaidiii...
Umejibu kwa hekima hii ndo JF tunasupportiana ili uuze nyumba ni lazima uwe na detail kuzidi mnunuzi ,maana sio biashara ya maembe ,pia tafuta ushauli wa watu wanaitwa valuers wakuelimishe juu ya bei vyemaThanks.... Huyu fundi maiko atanieleza columns ziko wapii...hahhaahha
Mkuu imebidi nirudi Uzi mmoja nyuma ili nicheki. Ni kweli hakuna column iliyobeba beam na beam ibebe slab. Atakuwa alitumia sijui mafundi gani kuijengaKatika ujenzi wa magorofa component ya muhimu zaidi ni msingi ikifwatiwa na columns then zinafwata beams na slabs!! hizi ndio zinafanya jengo/ghorofa liwe imara. Ndio maana nikauliza mbona sioni columns?
Hata kama hujui ila rudi kwa aliyenjenga akupe jibu maana lazima utaulizwa na watu wengine sasa ukisema tena huna jibu utajikuta unapoteza wateja kizembe.
siwezi kujibia hilo suala naona lipo kiufundi zaidiii...
Hii haikua kazi ya kumuacia fundi tu!! ndio maana watu wanasota chuo miaka minne!!Mkuu imebidi nirudi Uzi mmoja nyuma ili nicheki. Ni kweli hakuna column iliyobeba beam na beam ibebe slab. Atakuwa alitumia sijui mafundi gani kuijenga