House4Sale Nyumba inauzwa ipo Mbagala Kijichi

Anill

Senior Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
183
Reaction score
372
Ina vyumba vitano kwa ndani, bafu choo, na kuna vyumba viwili vya nje pamoja na eneo kubwa kwa nnje, nyuma na mbele.

Eneo la mbele ni kubwa unaweza ongeza nyumba nyingine au fremu za biashara, kwa nyuma pia kuna eneo kubwa, Gari linafika hadi mlangoni

Document zote zipo nyumba haina mgogoro wowote



BEI MIL 40, maongezi yapo

0678096545

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini nyumba nyingi huko mbagala zinauzwa sanaa,au nyumba zinajengwa chini ya viwango biskuti??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…