INAUZWA NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI JUU

INAUZWA NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI JUU

storyteller

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,844
Nyumba nzuri yenye uimara inauzwa
-ina vyumba vitano vya kulala
-ina ukumbi mdogo wa sinema
-ina nyumba ndogo ya wafanyakazi
-ina ofisi

Iko latika eneo la ukubwa wa 4329 sqm
Eneo ni mbezi juu njia ya goba

Nyumba ina bima kubwa mwaka mzima

Mwenye uhitaji wa kweli au ana mtu ambaye anahitaji mnakaribishwa inbox.

Bei ya nyumba ni 650m na kuna nafasi ya mazungumzo.

Asanteni.View attachment 756492
IMG-20180306-WA0008.jpg
View attachment 756493View attachment 756494View attachment 756491View attachment 756495
 
Back
Top Bottom