storyteller JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 1,511 Reaction score 1,844 Apr 25, 2018 #1 Nyumba nzuri yenye uimara inauzwa -ina vyumba vitano vya kulala -ina ukumbi mdogo wa sinema -ina nyumba ndogo ya wafanyakazi -ina ofisi Iko latika eneo la ukubwa wa 4329 sqm Eneo ni mbezi juu njia ya goba Nyumba ina bima kubwa mwaka mzima Mwenye uhitaji wa kweli au ana mtu ambaye anahitaji mnakaribishwa inbox. Bei ya nyumba ni 650m na kuna nafasi ya mazungumzo. Asanteni.View attachment 756492View attachment 756493View attachment 756494View attachment 756491View attachment 756495
Nyumba nzuri yenye uimara inauzwa -ina vyumba vitano vya kulala -ina ukumbi mdogo wa sinema -ina nyumba ndogo ya wafanyakazi -ina ofisi Iko latika eneo la ukubwa wa 4329 sqm Eneo ni mbezi juu njia ya goba Nyumba ina bima kubwa mwaka mzima Mwenye uhitaji wa kweli au ana mtu ambaye anahitaji mnakaribishwa inbox. Bei ya nyumba ni 650m na kuna nafasi ya mazungumzo. Asanteni.View attachment 756492View attachment 756493View attachment 756494View attachment 756491View attachment 756495
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,274 Reaction score 6,257 Apr 25, 2018 #2 mweeeeh magu huyuu pengine na mimi sahizi ningekuwa na miliki mjengo kama huu