House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Michamvi, Zanzibar

AY 5225

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2023
Posts
542
Reaction score
1,239
Location: Michamvi, Unguja, Zanzibar karibu na Karafuu Hotel
Price: 33,000,000/= Tshs
Contact: +255742004658 (WhatsApp only)

•Ina vyumba viwili na vyote ni self-contained
•Sebule
•Dining room
•Jiko
•Kifusi ndani kishajazwa
•Shimo la choo tayari limechimbwa
Your browser is not able to display this video.
 
Maandishi ni kweli yanasema hivyo, ila matendo ni tofauti.
 
Ukubwa wa eneo? Anyway, watanzania wanaruhusiwa kununua nyumba Zanzibar?
Sipo well-informed kwenye suala la umiliki wa ardhi kwa wasio waZanzibari kisheria, ila kwa nijuavyo mpaka sasa ni kwamba mtu yeyote asiekuwa mZanzibari mkazi anaruhusiwa kumiliki ardhi kwa muda as long as anaitumia kibiashara (uwekezaji) mpaka pale atakapotimiza vigezo vya kupewa kitambulisho cha mZanzibari mkazi ambapo hapo atakuwa ashakuwa na haki ya umiliki wa moja kwa moja.

Pia kuna kiwango cha uwekezaji kifedha ambacho mtu akikifikia basi anakuwa na nafasi ya kupata hadhi ya mZanzibari mkazi bila hata ya kukidhi kigezo cha kuishi Zanzibar kwa miaka mitatu mfululizo.

I stand to be corrected.
 
Mimi ni mtanganyika je naruhusiwa kununua na kuanza kuishi hapo?
 
Mimi ni mtanganyika je naruhusiwa kununua na kuanza kuishi hapo?
Ndio mkuu unaweza, wabongo wengi tu wanamiliki nyumba na viwanja huku. Pia soma reply yangu kwa Dudus hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…