Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo siyo nyumba,
Isomeke ,kibanda au kiwanja kinauzwa ,Mimi nipo Rose Garden.
Una utani na sisi waluguru wewe sio bure😀😀Mweee sa mbona bei hujaweka..Jaa nawe vipi😀😀
😅😅😅😅 mimi nnayo dsm mpyaa na iko town 100m tu nimekosa sasa huko moro 200m masikhara haya200m parefu sana kwa ilo pagale
Mbon cjaweka bei mkuu😅😅😅😅 mimi nnayo dsm mpyaa na iko town 100m tu nimekosa sasa huko moro 200m masikhara haya
Mkuu hao jamaa watani zangu sana.Ndio walinifunza kubisha...ulisha wahi ona mtu anabisha ukweli 😀 😀Una utani na sisi waluguru wewe sio bure😀😀
Their point exactly, unawekaje tangazo la kuuza kitu na hujaweka bei!? Au unatoa bure!?Mbon cjaweka bei mkuu