Hiyo siyo nyumba,
Isomeke ,kibanda au kiwanja kinauzwa ,Mimi nipo Rose Garden.
Una utani na sisi waluguru wewe sio bureππMweee sa mbona bei hujaweka..Jaa nawe vipiππ
π π π π mimi nnayo dsm mpyaa na iko town 100m tu nimekosa sasa huko moro 200m masikhara haya200m parefu sana kwa ilo pagale
Mbon cjaweka bei mkuuπ π π π mimi nnayo dsm mpyaa na iko town 100m tu nimekosa sasa huko moro 200m masikhara haya
Mkuu hao jamaa watani zangu sana.Ndio walinifunza kubisha...ulisha wahi ona mtu anabisha ukweli π πUna utani na sisi waluguru wewe sio bureππ
Their point exactly, unawekaje tangazo la kuuza kitu na hujaweka bei!? Au unatoa bure!?Mbon cjaweka bei mkuu